Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Bi. Devotha Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai leo
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng'ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo leo. Kulia ni Balozi mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe Omar Mjenga.
Waziri Mkuuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Meneja mkuu wa shamba la kufuga ng'ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia) wakati alipotembelea shmaba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo leo Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu