Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini Moshi
Naibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji Moshi
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshi
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga mjini Moshi