Thursday, December 04, 2014

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YAFANYIKA IRINGA



KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YAFANYIKA IRINGA
Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu.
Mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa.
Waziri Lukuvi akimakabidhi cheti mwanafunzi mlemavu wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa.
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akiongea jambo.
Kamishina wa ustawi wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zake.
Mwenyekiti wa CCM mkoa Jesca Msambatavangu akiwa na viongozi wa chama cha  walemavu Tanzania kushoto ni makamu mwenyekiti Bi Amina Mollel na katikati ni mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa.
Katibu wa chama  cha Viziwi Tanzania Shaibu Juma akiwa katika ulingo wa  wasanii wa ngoma kutoka kikundi cha Viziwi.
Walemavu wakiwa katika maandamano siku ya jana wakati wa kilele cha siku ya walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika mkoa  wa Iringa.