Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Baadhi ya wabuge na Mawaziri, Bungeni mjini Dodoma Novemba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)