Mdau Mrs Leticia Mutaki (wa pili kushoto) akiwa na wanafunzi wenzake wanawake kwenye ufunguzi wa kula nondozzzz ya sheria ya Masters in maritime law jijini Malta.
Mdau Mrs Leticia Mutaki (wa pili kushoto) akijidai na bendera ya Tanzania kwenye ufunguzi wa mafunzo ya nondozzz ya sheria ya Masters in Maritime law jijini Malta.