MAMA KIKWETE NACHINGWEA
MAMA KIKWETE NACHINGWEA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ,akipokelewa jana na baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Nachingwea, wakiwemo viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana jana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.