Wednesday, November 05, 2014

Irene Kiwia alivyoiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano mkuu wa 69 wa Umoja wa Mataifa


Irene Kiwia alivyoiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano mkuu wa 69 wa Umoja wa Mataifa
Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (wa pili kushoto) akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa  69 wa Umoja wa Mataifa (Unga) kwa kushirikiana na Clinton Global Initiative (CGI) uliofanyika mwezi uliopita nchini Marekani.Bi. Kiwia alipata nafashi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano huo uliokuwa na ukijadili maswala mbali mbali ya wanawake na maendeleo, swala ambalo liko karibu sana na kazi zake.Wengine pichani ni Bi. Sheila Tlou (Mwakilishi wa UNAIDS Mashariki na Kusini mwa Africa),Bi. Catharine Taylor (MSH),Bi. Kate Gilmore (UNFPA). 
Sehemu ya Wadau wa Mkutano huo.