Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika kuzungumza na Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo wa ziara zake za mikutano ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika kuzungumza na Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo waziara zake za kuimarisha Chama Mikoa ya Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria katika mkutano wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM uliowashirikisha Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo waziara zake za kuimarisha Chama Mikoa ya Unguja.
Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani kutoka Jimbo la Magogoni wakifuatilia kwa makini taratibu za Mkutano huo zilizotumika kwa Viongozi wakuu wa CCM walipozungumzia masuala mbali mbali katika ziara ya kuimarisha Chama iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani kutoka Jimbo la Fuoni wakifuatilia kwa makini taratibu za Mkutano huo zilizotumika kwa Viongozi wakuu wa CCM walipozungumzia masuala mbali mbali katika ziara ya kuimarisha Chama iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
Katibu Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama alipokuwa akihamasisha Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya hiyo walipokuwa katika Mkutano maalum uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinkatika ziara zake za kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja. [Picha na Ikulu.]
Mabalozi wa Jimbo la Magogoni wakinyoosha mikono juu kushagilia wakati walipotamulishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya mabalozi iliyosomwa na Balozi Kasim Hassan Haji katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachi na Wanachama wa CCM katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja.