Friday, October 03, 2014

Picha na Taarifa ya Matokeo:Ona Jinsi Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Wakishangilia Leo Mjini Dodoma Mara baada ya Matokeo ya Upigaji Kura Kuonyesha Kuwa Theluthi Mbili ya Zanzibar imepatikana.


Picha na Taarifa ya Matokeo:Ona Jinsi Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Wakishangilia Leo Mjini Dodoma Mara baada ya Matokeo ya Upigaji Kura Kuonyesha Kuwa Theluthi Mbili ya Zanzibar imepatikana.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
 Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar  ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pandu Ameir Kificho akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
 
Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia alikuwa ni mjumbe wa Buge Maalum la Katiba, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda akitoa akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
 Aliyekuwa Makamu wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza bunge hilo mjini Dodoma wakati wa ufungaji wa bunge hilo leo 2 Septemba, 2014.
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiwashukuru wajumbe na Watanzania kabla ya kuvunja bunge hilo rsmi leo 2 Septemba, 2014 mjini Dodoma

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Anne Makinda akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. John Cheyo akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, mhe. John Shibuda akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakitoa maneno ya shukurani kwa wajumbe na Watanzania kabla ya kuvunja bunge hilo rsmi leo 2 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Selemani Nchambi akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba wakishangilia leo mjini Dodoma mara baada ya matokeo ya upigaji kura kuonyesha kuwa Theluthi mbili ya Zanzibar imepatikana.
---
MATOKEO
1. ZANZIBAR.

- Idadi ya Wabunge ni 219
-Waliopiga kura ni 154
- Wasiopiga Kura ni 65
- Akidi inayotakiwa ni kura 146
-Kura za NDIYO ni 147
-Kura za HAPANA ni 7


* Sura ya Kwanza Ibara ya 1 hadi 11 imepata theluthi Mbili
* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi 26 imepata theluthi mbili
* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil
*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69 imepata theluthi mbili
*Sura ya Saba Ibara ya 70 hadi 75 imepata theluthi mbili
*Sura ya nane Ibara ya 76 hadi 121 imepata theluthi mbili
*Sura ya Tisa Ibara ya 122 hadi 123 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi Inara ya 124 hadi 157 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Moja Ibara ya 158 hadi 161 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Mbili Ibara ya 162 hadi 202 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Tatu Ibara ya 203 hadi 208 A imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Nne Ibara ya 209 hadi 221 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Tano Ibara ya 222 hadi 242 A. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Sita Ibara ya 243 hadi 257. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Saba Ibara ya 258 hadi 269. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Nane Ibara ya 270 hadi 274. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Tisa Ibara ya 275 hadi 289. imepata theluthi mbili

KWA MATOKEO HAYO NI KWAMBA IBARA ZOTE 289 ZIMEPATA THELUTHI MBILI KWA UPANDE WA ZANZIBAR
2. TANZANIA BARA

Idadi ya Wabunge ni 411-Waliopiga kura ni 335- Wasiopiga Kura ni 76- Akidi inayotakiwa ni kura 274-Kura za NDIYO ni 331-Kura za HAPANA ni 1 hadi 4
* Sura ya Kwanza Ibara ya 1 hadi 11 imepata theluthi Mbili* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi 26 imepata theluthi mbili* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69 imepata theluthi mbili*Sura ya Saba Ibara ya 70 hadi 75 imepata theluthi mbili*Sura ya nane Ibara ya 76 hadi 121 imepata theluthi mbili*Sura ya Tisa Ibara ya 122 hadi 123 imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi Inara ya 124 hadi 157 imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Moja Ibara ya 158 hadi 161 imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Mbili Ibara ya 162 hadi 202 imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Tatu Ibara ya 203 hadi 208 A imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Nne Ibara ya 209 hadi 221 imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Tano Ibara ya 222 hadi 242 A. imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Sita Ibara ya 243 hadi 257. imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Saba Ibara ya 258 hadi 269. imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Nane Ibara ya 270 hadi 274. imepata theluthi mbili*Sura ya Kumi na Tisa Ibara ya 275 hadi 289. imepata theluthi mbili
KWA MATOKEO HAYA NI KWAMBA IBARA ZOTE 289 ZIMEPATA AKIDI KWA UPANDE WA TANZANIA BARA.

MATOKEO YA JUMLA NI KWAMBA IBARA ZOTE 289 ZIMEPATA AKIDI KWA PANDE ZOTE ZA MUUNGANO YAANI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR