Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Juma Abdulla Saadala mwenye kofia akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya inavyofanya kazi ikiwa katika mwendo ndani Ziwa Victoria na nahodha wa meli hiyo Captain Juma Nkwama jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla Saadala akitiasaini kitabu cha maudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya.
Meli ya RV Jumuiya Meli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa gatini jijini Mwanza