Mdau Innocent Mwesiga na Mkewe Carretta Mwesiga washerehekea miaka 10 ya ndoa yao
Mdau Innocent Mwesiga na Mkewe Carretta Mwesiga washerehekea miaka 10 ya ndoa yao
Juu na chini mwandishi wa makala katika safu ya Waraka kutoka Houston ndani ya gazeti la Raia Mwema, Innocent Mwesiga, Pharm.D na mke wake Carretta Mwesiga, FNP wakifurahia miaka 10 ya ndoa yao hivi karibuni katika visiwa vya Bahamas. (Kutoka blog hii tunawapa hongera sana)
(Picha kwa hisani ya Sunday Shomari).