| Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakiingia kwa madoido uwanjani. |
| Baadhi ya wazazi wenye watoto wao katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakifuatilia sherehe za kuaga wahitimu wa kidato cha nne. |
| Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakifurahia matukio yaliyokuwa yakiendelea katika sherehe yao ya kuagwa. |
| Wanafunzi wa shule ya Msingi Eden Garden Education Trust waliofika kwa ajili ya kuwaaga wenzao wa shule ya sekondari. |
| Wanafunzi katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakionesha umahiri wa kucheza muziki. |
| Wanafunzi wa shule ya msingi Eden Garden Education Trust wakiimba wimbo wa kuwaaga ndugu zao wa kidato cha nne. |
| Wanafunzi wakionesha umahiri katika kucheza Sarakasi. |
| Mkuu wa shule ya sekondari Eden Garden Education Trust Thomas Muthiah akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya kidato cha nne kwa wahitimu . |
| Mkuu wa Utawala katika shule za Eden Garden Education Trust ,Peter Nayor akizungumza wakati wa mahafali ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha nne shuleni hapo. |
| Wanafunzi wa kidato cha nne wakionesha umahiri wa kucheza . |
| Wanafunzi wa shule ya sekondari Eden garden Education Trust wakapata fursa yakuonesha Mavazi ya aina mbalimbali. |
| Kisha mgeni rasmi ,Kwayu akahitimisha kwa kutoa vyeti kwa wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.