Wednesday, September 17, 2014

Vodacom Tanzania na Coca-Cola wazindua Coke Studio Promo



Vodacom Tanzania na Coca-Cola wazindua Coke Studio Promo
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twisa akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo wateja wa Vodacom Tanzania watajipatia muda wa maongezi wa dakika tano bure kwa kila soda moja ya chupa ya Coca-Cola. Kushoto kwake ni Meneja wa Bidhaa wa Coca Cola Tanzania Maurice Njowoka na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Coca-Cola Kwanza Nalaka Hettiarachchi
Meneja Bidhaa wa Coca-Cola Tanzania Maurice Njowoka akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo wateja wa Vodacom Tanzania watajipatia muda wa maongezi wa dakika tano bure kwa kila soda moja ya chupa ya Coca-Cola.
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Coca-Cola Kwanza Nalaka Hettiarachchi akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo wateja wa Vodacom Tanzania watajipatia muda wa maongezi wa dakika tano bure kwa kila soda moja ya chupa ya Coca-Cola.