Monday, September 15, 2014

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE









TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE
 Kaimu Katibu Mtendaji Bi Agnes Mgeyekwa akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume.
 Afisa Sheria Mkuu Bi Marlin Komba akimuwekea Shampeni Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume.
 Wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya sherehe ya kuwaaga watumishi wastaafu wa Tume  wakati wa sherehe.
 Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Agnes Mgeyekwa Kulia akijadiliana na Makatibu Wasaidizi wa Tume Bi. Angela Bahati (katikati) na Bw. Adam Mambi wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume.
 Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume.
 Watumishi wakicheza kwaito.
 Wastaafu wakiwa na wenza wao wakati wa kuaagwa baada ya kukamilisha umri wa kustaafu kazi.
 Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu.
 Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwaonesha wastaafu zawadi zao walizokabidhiwa.
 Aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama akitoa shukurani baada ya kukabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Tume.
 Mstaafu wa Tume Tarsisi Namajojo akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu.
 Aliyekuwa Mhasibu wa Tume Bw. Khalfan Tindwa akiwashukuru watumishi wa Tume wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika Dar es Salaam.
 Sherehe ikiendelea
 Kamishna wa Tume Bi. Esther  Manyesha akizungumza kwa niaba ya Makamishna wenzake wakati wa hfla ya kuwaaga wastaafu wa Tume.
Watumishi wakibadilishana mawazo.

Picha zote na Ofisa Mawasiliano wa 
Serikali wa Tume Bw. Munir Shemweta