Wednesday, September 17, 2014

TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO


TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.