Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)