Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia na kufungua rasmi Mkutano wa Diaspora.
Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Balozi Mwanaidi Maajar ambaye anasifika kwa kusimamia mambo ya Diaspora
Mratibu wa Diaspora Zanzibar pamoja na wadau kutoka ughaibuni wakifuatilia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Diaspora katika ukumbi wa hoteli ya Serena leo.