Monday, August 18, 2014

KUNDI LA BONGO DANSI LA SHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA KUANZISHWA KWAKE NA VIJANA JAZZ


KUNDI LA BONGO DANSI LA SHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA KUANZISHWA KWAKE NA VIJANA JAZZ

Baadhi ya wana bongo dansi wakiwa katika picha ya pamoja na bendi ya vijana jazz wakati wa kusherehekea mwaka mmoja wa kundi hilo tangia lianzishwe kwenye mtandao wa kijamii wa fecebook ambapo kundi hilo mpaka sasa lina wanachama 3,086 mashabiki wa bendi mbalimbali wa mziki ya dansi nchini 
Baadhi ya wanachama maarufu wa bongo dansi kushoto niAbdulfareed Hussein , Senetor Mwinyi na William Kaijage walipokutana katika sherehe za mwaka wa kundi hilo zilizofanyika vijana kinondoni Dar es salaam 
wafulumusha magitaa wa bendi ya Vijana Jazz wakiwajibika wakati wa sherehe za kutimiza mwaka mmoja kwa kundi la Bongo Dansi ambao ni mashabiki wa mziki wa dansi nchini wanaokutanishwa katika mtandao wa kijamii wa fecebook kushoto ni Shomari Ally na Said Kizunga 

Wasanii wa bendi ya Vijana Jazz wakiserebuka
Mpiga tumba wa bendi ya vijana jazz Ally Rajabu kushoto na Mpiga drams wa bendi hiyo Samata Hassani waki wajibika wakati wa onesho lao
Waimbaji wa bendi wa Vijana Jazz wakiimba kutoka kushoto ni Saburi Athumani,Julius Mwesiwa,Abdallah Mgonahanzeru na Husein Boom wakitoa burudani wakati wa kundi la mashabiki wa mziki wa dansi nchini la bongo dansi lilipokuwa linatimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kweke katika mtandao wa kijamii wa fecebook lina wanachama 3,086 mashabiki wa bendi mbalimbali wa mziki ya dansi nchini 

Waimbaji wa bendi ya vijana Jazz wakitoa burudani kwa kundi la Bongo Dansi kutoka kushoto ni Julius Mwesiwa na Komweta Maneti 
Baadhi ya wana Bongo Dansi wakiwa katika meza wakiendelea kupata burudani za vijana jazz

Mwana familia wa Bongo Dansi William Kaijage akisema chochote wakati wa sherehe hizo kulia ni mwimbaji wa bendi ya vijana jazz Abdallah Mgonaanzeru
Wasanii wa Vijana Jazz wakimkaribisha Miraji Shakashia katikati
Wana bongo Dansi wakimkaribisha mwenzao Rajabu Zomboko katikati kushoto ni William Kaijage na kulia ni
Senetor Mwinyi wakati wa kundi hilo lilipotimiza mwaka mmoja kamili tangu lianzishwe kwake kwenye mtandao wa kijamii wa fecebook

Mwimbaji wa bendi ya Vijana Jazz Komweta Maneti kushoto akiserebuka na wana bongo Dansi wakati wa onesho lao