Friday, August 29, 2014

Dkt. Shein aelekea Visiwa vya Samoa kwa ziara ya kikazi



Dkt. Shein aelekea Visiwa vya Samoa kwa ziara ya kikazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd katika Uwana wa Ndege wa Kimataia wa Abeid Amani Karume wakati akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.Katikati ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwana wa Ndege wa Kimataia wa Abeid Amani Karume akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.[Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu.]