Meneja msaidizi wa bia ya castle lite Victoria Kimaro kushoto akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam alipokuwa akiwatangaza washindi sita wa wiki ya kwanza katika shindano la promosheni ya Castle lite Yacht Party ambapo baadae watapatikana washindi watakaojishindia zawadi kubwa ya kushiriki katika burudani itakayofanyika katika kisiwa kwenye Bahari ya Hindi na kulia kwake ni meneja wa bia hiyo Geoffray Makau.
Sehemu ya waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano wa waandishi wa habari kwenye kutangazwa kwa washindi sita wawiki ya kwanza ambao walishiriki katika shindano kubwa la promosheni ya Castle lite Yachy Party jijini Dar Es Salaam.