Thursday, August 28, 2014

BASI LA MASHALLAH LAPATA AJALI

Basi la Mashallah linalofanya safari zake kati ya DAR Kwenda kilwa lapata ajali jioni hii likiwa safarini kutoka dar kwenda Kilwa. Chanzo cha Ajali limegongana na Gari dogo na kupinduka.