Oliver Benson Israel ambaye ni mwanakwaya na sololist wa kwaya ya uinjilisti KKKT kijitonyama kwa kushirikiana na kwaya ya uinjilisti kijtonyama anatarajia kuzindua CD yake jumapili tarehe 20/07/2014 katika kanisa la lutheran kijitonyama,dada huyu ndiye aliyeimba wimbo wa hakuna mwanaume kama yesu na nyingine nyingi, baada ya uzinduzi ibadani mchana kutakuwa na tamasha kubwa la kumwimbia mungu karibuni sana!