Tuesday, July 15, 2014

Picha:Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere Akabidhi Computer Kwa Shule za Sekondari za Jimbo la Musoma Mjini



Picha:Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere Akabidhi Computer Kwa Shule za Sekondari za Jimbo la Musoma Mjini
 Computer zikikabidhiwa kwa ajili ya Shule za Sekondari za Jimbo la Musoma Mjini
Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Makoko mjini Musoma, Mara.