Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutarisha watendaji wa Ofisi yake nyumbani kwake Mbweni Zanzibar. Miongoni mwao ni Watu Wenye Ulemavu wa aina mbali mbali. Picha na Salmin Said, OMKR
Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakijiandaa kufuturu Mbweni Zanzibar.
Watendaji wa Ofisi ya MAkamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakifuturu Mbweni Zanzibar.