Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 16/07/2014, 17/07/2014 NA 19/07/2014
MUDA: 03:00Asubuhi – 12 Jioni
SABABU: Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Feri Kigamboni.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli na maeneo jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo
2138352; 0222138352; 0788 499014,0736 501661
au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja:
2194400 au 0786985100.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.