Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT, Martha Mashiku.
Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.
Ofisa Masoko wa UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu za kujiunga na Mfuko huo wa Dhamana ya Uwekezaji kwa mwanachama mpya.