Monday, June 16, 2014

USWISI YAITANDIKA ECUADOR 2-1, REKODI YA AINA YAKE, HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU 1934


USWISI YAITANDIKA ECUADOR 2-1, REKODI YA AINA YAKE, HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU 1934

Leaving it late:              Haris Seferovic scoops home a late opener for Switzerland in              a 2-1 win against Ecuador

Bao la dakika za lala salama: Haris Seferovic aliifungia Uswisi bao la dakika ya mwisho na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ecuador.
 Switzerland ikitoka nyuma imefanikiwa kuitandika Ecuador mabao 2-1  katika mchezo wao wa ufunguzi wa kundi E kombe la dunia mjini Brasilia.
Admir Mehmedi aliyedumu uwanjani kwa sekunde 121 aliifungia Uswisi  bao la kusawazisha baada ya Enner Valencia kuifungia Ecuador bao la kuongoza.
Baol la Seferovic limehakikisha kuwa hakuna sare katika michuano ya mwaka huu, kwa mara ya kwanza tangu 1934.
Passion: Seferovic                      celebrates his late strike to give the Swiss a                      crucial win in World Cup Group E
 Seferovic akishangilia bao
Bedlam: The Swiss team                      join the striker on the pitch as he wheels away in                      celebration
Wachezaji wa Uswisi walijiunga na mshambuliaji huyo kushangilia bao hilo la ushindi.
Delight: Ottmar Hitzfeld                      congratulates his side as the final whistle blew                      seconds after the winner
Distraught: The Ecuador                      supporters look dejected after the painful defeat
Mashabiki wa Ecuador wakionekana kuwa na huzuni baada ya kipigo