Tuesday, June 17, 2014

TFDA KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA




TFDA KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA



Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imeendelea kutoa elimu kuhusu madhara ya vipodozi vyenye viambato sumu kwa jamii ikiwa watanzania hawataacha kuvitumia kwa hiari yao. Elimu hiyo inatolewa katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi mmoja.