SHOCKING!!!Ni zaidi ya mpenz huyu mwanamke ,ni jembe langu ,muongozo wangu ,mtani wangu na kila sifa nzur anastahili katotoo kangu,chochote nkimfanyia nafanya kwa mapenzi,na yeye akifanya chochote kwangu anafanya kwa mapenzi.mnaosema huyu kipenZ changu ni jimama mnapoteza time,na mnaosema mm ni serengeti boy kwa huyu kipenZ changu mnafail,ila ni mapenzi tu yanaongea. Na kama jimama anatambulishwag nyumbani basi saaawa. Kilichonipeleka kwake ni mapenzi tu na yeye mapenzi yamemleta kwangu pia.
Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??Baada ya Muda kidogo Mwanamama SHILOLE nae aliweka picha hii na kuandika hivi;
Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ulweli @mziwanda666 @mziwanda666
Neno kwa Kijana PLZ!!
PATI WANI HAPA