| Msafara ukaanza safari yake kutoka Ngurdoto huku njiani madereva wa Boda boda wakiwa wamezunguka gari la Maharusi na wengine wakionesha mbwembwe. |
| Baada ya mwendo kido Maasai nao wakaomba msafara wa pikipiki ukae pembeni wakidai ni zamu yao sasa kusindikiza Maharusi. |
| Huko uwanjani MC ,Masanja Mkandamizaji na Salum Mwalimu walikuwa bize kuweka mambo sawa. |
| Wageni mbalimbali walikuwepo uwanjani hapo wakingojea Maharausi miongoni mwao ni wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. |