Wednesday, June 04, 2014

Maafisa wa serikali kutoka jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watua dar




maafisa wa serikali kutoka jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watua dar
Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe akiongea wakati wa kuwakaribisha ujumbe wa maafisa wa serikali kutoka jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu usiku katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere.  Wengine ni Naibu Gavana wa Jimbo hilo, Bw. Yav Guilbert (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Jimbo hilo, Bw. Kahozi Sumba (kulia). Ujumbe huo upo nchini kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo.