Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Mhe Zainab Kawawa wa Viti Maalum (kushoto), Sylivester Mabumba wa Dole (wapili kushoto), Mhe. Vita Kawawa wa Namtumbo na Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Watoto, Mama Terry Gbemudu (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo