Friday, June 06, 2014

BREAKING NEWS: WANAFUNZI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI CHA NIT WAFANYA VURUGU KUSHINIKIZA KUPEWA PESA ZAO ZA MKOPO

BREAKING NEWS: WANAFUNZI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI CHA NIT WAFANYA VURUGU KUSHINIKIZA KUPEWA PESA ZAO ZA MKOPO
 Gari la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kwa ajili ya usalama chuoni hapo
 Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi akizungumza jambo
 Polisi wakiwa wakiwa wanaimarisha ulinzi
 Wanafunzi wakiwa wanapiga Makelele kushinikiza Kulipwa pesa zao
 Usalama umeimarishwa..