Sunday, October 14, 2012

Nyerere Utakumbukwa Daima,


Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere pichani ni miaka 13 sasa imepita tangu afariki Dunia huko London wakati akiendelea na matibabu katika hospitali ya St.Thomas, Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani Baba wa Taifa.