![]() |
Mhe. Naibu Waziri akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Bw. Gulalid mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho. |
![]() |
Bw. Gulalid akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kukabidhi Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Naibu Waziri (hayupo pichani). |
![]() |
Mhe. Naibu Waziri akifurahia jambo wakati wa kuagana na Bw. Gulalid mara baada ya mazungumzo yao. |