Sunday, October 07, 2012

KITABU CHA HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE CHAZINDULIWA RASMI MKOANI DODOMA.




 Mwanaharakati Novatus Mutoka kutoka Mkoani Dodoma akiongea na waandishi wa habari (hawapo picha)jana mkoani Dodoma wakati akitambulisha kitabu chake kinachoitwa "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" ambapo pia alielezea lengo la yeye kuandika kitabu hiko mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani)
Mwanaharakati Novatus Mutoka akionyesha kitabu alichoandika yeye kinachoitwa "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema jana ofisini kwake mkoani Dodoma.