Moja kati ya matukio ambayo watanzania wanayasubiri leo katika historia ni mechi ya watani wa jadi [Dar es Salaam Derby] kati ya Simba na Yanga . Timu zote zimejiandaa na kila mmoja akijitapa kuumiza mwenzie. Mechi ya mwisho kukutana Simba alimfunga Yanga bao 5-1. Je leo nani ataibuka kidedea? |