Saturday, October 06, 2012

BOMOA BOMOA KINONDONI JIJINI DAR SIKU YA JANA.



Baadhi ya vyombo vya wakazi wa eneo hilo waliobomolewa nyumba zao vikiwa nje.
Zoezi la bomoa bomoa likiwa limepamba moto.
Zoezi la kubomoa nyumba zilizopo mabondeni eneo la Hananasif katika wilaya ya Kinondoni

jijini Dar likiendelea leo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni,
Charles Kenyera akizungumza na wanahabari
wakati wa zoezi la bomoa bomoa.