Tuesday, September 11, 2012

RUDI NA TEDDY ROTTMANN WAMEREMETA MIAKA 25 YA NDOA.


 

Rudolf Rottmann (mwenye glass) na Teddy Rottmann (aliyevaa suruali nyekundu) pamoja na familia yao wakimeremeta baadaya miaka 25 ya ndoa yao huko Bonn, Ujerumanijana. Mdau hakuwa mbali kwenye shughuli hiyo. Kutoka kushoto ni mtoto wao Felix, rafiki yao Agnes, Mdau Prosper na mtoto wao Sofia! Picha nyingine zote ni shughuli nzima ya sherehe hiyo iliyojumuisha familia, ndugu, jamaa na marafiki…. wakiwemo Mdau Sekioni Kitoji na Abubakar Liongo kutoka DW.(Na Mdau Prosper Minja).