Muungano huo umesema kuwa haukuona vyema kukaa kimya mara baada ya tukio hilo la udhalilishaji kufanyika hivyo ukaamua kukutana na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Bw. Baraka Kondisaga na kuwasilisha kauli yao wakisisitiza kuwa fujo zote zilizofanyika Sahara, ni fujo zilizoandaliwa na wahuni na si wamachinga kama inavyotajwa hivyo wao wanazikemea na kuzilaani kwa kauli moja wakisema kuwa hawahusiki na kuiomba serikali kuwachukulia hatua za kisheria wale wote walio husika. |