Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga wenzie
wa Ndege za Serikali kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,
kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 7, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Mhe Saidi Mecky Sadik kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,
kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 7, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la
Tanzania, Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo kabla ya kuanza safari
ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu
asubuhi leo Agosti 7, 2012. Katikati yao ni Inspekta Jenerali wa Polisi,
Saidi Mwema.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)