Thursday, August 02, 2012

NI TIME YA EBSS DAR ES SALAAM NA HAYA NDIO MATOKEO YA KWANZA COCO BEACH.

 
Kazi ya kuvitafuta vipaji vya kuimba kuiwakilisha Dsm kupitia Epic Bongo Star Search ndio imeanza ambapo ni baada ya kupita kwenye mikoa mbalimbali, huyu mshkaji ni sehemu ya crew ya Benchmark Production wanaorekodi hiyo show ya video.
 
Coco beach Dar es salaam
 
.
 
.
 
.
 
Majaji Salama, Madame Rita na Master J.
 
Madame Rita na Master J wakifurahi baada ya kuchekeshwa na mmoja kati ya washiriki, siku za kuanza kuonekana kwa show ya Ebss kwenye kioo chako zinahesabika…. anytime soon utaona majaji walichokutana nacho majaji kwenye mikoa mbalimbali Tanzania.