Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema baada
ya kuwasili usiku huu Agosti 19, 2012 kutoka Maputo, Msumbiji
alikoambatana na Rais Kikwete katika kikao cha viongozi wa Jumuiya Ya
Maendeleo Kusini Kwa Afrika (SADC) uliofunguliwa tarehe Agosti 17, 2021
na kumalizika jana jioni Agosti 18 2012. Katika kikao cha
Jana Tanzania imechukua uenyekiti wa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama
kutoka Afrika ya Kusini ambapo uenyekiti wa SADC umechukuliwa na
Msumbiji kutoka Angola. Nafasi hizi ni za mwaka mmoja mmoja