
Mwanamuziki
Diamond Platinumz akikamua jukwaani wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu
ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF uliofanyika Mjini Dodoma leo.

Mwanamuziki
Diamond Platinumz na wachezaji wake wakifanya vitu vyao wakati wa
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF Mjini
Dodoma

Kundi
la wachekeshaji Orijino Komedy nalo lilikuwepo Mjini Dodoma kuchagiza
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF.


Picha
ya pamoja kati ya Rais Kikwete, viongozi mbalimbali na wafanyakazi wa
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wakati wa kuhitimisha sherehe za
uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF Mjini Dodoma