Baadhi
ya watu wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 871 BGY
linalofanya safari zake kati ya Mwenge na Temeke lililogongana na
pikipiki katika makutano ya barabara ya Chang’ombe na Nyerere jijini Dar
es Salaam leo.Picha Zote na Mdau Francis Dande