Monday, July 30, 2012

Picha za Vurugu kubwa iliyo sababisha Polisi wapige mabomu ya machoizi kuwatawanyisha wanafunzi walio andamana kushinikiza walimu wawape mitihani kabla ya shule kufunga, wakati walimu hao wameanza mgomo Leo!





Wananchi wa Tunduma wakiwa wanashuhudia Live tukio la wanafunzi wa shule za Msingi Tunduma walipo goma
 Watu wakiwa wanatawanyishwa na Mabomu ya machozi 
 Njia ya Kuelekea Boda la Tunduma ikiwa imefungwa 
 Wanafunzi na wananchi wakiwa wanachoma baadhi ya Maeneo Tunduma 

Hizi ni Picha za awali ambazo tumepiga Live wakati wa vurumai hiyo... Picha kamili na taarifa inakuja

Mbeya yetu Blog