Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo:
1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35
3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate itatakiwa).
Kazi zilizopo:
1. Static Security Officers/Guards (Elimu: Darasa la Saba kama kapitia JKT au Mgambo na kuendelea)
2. Incident Response Guards
3. Bodyguards; Closed Protection & Escort - Waliopitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate; JKT; Mgambo; Jeshini, Police n.k. watapewa kipau mbele
4. Intelligence & Investigation Officers - Walio na Elimu ya Juu
5. Training in using Small Weapons/Range & Weapon Services
7. Security Consultancy Services
8. Digital Security Communications
Tuma maombi yako na CV kwa firstresponsebrigade@gmail.com
Copy kwa: j_mayunga@yahoo.com
NB: Kama una shida yu kupata Mlinzi binafsi/Security Guard nyumbani au ofisini kwako aliyepitia mafunzo rasmi ya ulinzi na anayetumia Digital Radio Call kwa mawasiliano huku akisaidiwa na kikosi maalumu cha dharura kwa bei nafuu, tafadhali wasiliana kupitia email zilizotolewa. Huduma zinapatikana kuanzia: 1st August 2012.