Monday, July 23, 2012

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afuturu na Viongozi Mbalimbali wa Dini Mjini Mbeya

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya magharibi muda mfupi kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi mbalimbali wa dini mjini Mbeya jana
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya magharibi muda mfupi kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi mbalimbali wa dini mjini Mbeya jana
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali aliowaalika katika futari katika ikulu ya mjini Mbeya jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU