Monday, July 16, 2012

Ajali Mbaya imetokea Mbeya mmoja afariki Hapo hapo na Majeruhi 7


Lori lakubeba kifusi cha mawe aina ya Skania Namba T 525ACP  Mali ya Bhanji , lililo katika breki na kushindwa kusimama katika Mteremko wa Nzovwe na kuenda kugonga Gari aina ya Prado ambapo Dereva wa Gari hilo dogo alifariki hapo hapo.
 Gari aina ya Prado lenye namba za usajili T720BUV iliyo kuwa inaendeshwa na mama Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo.
 Muuguzi katika Hospitali ya Rufaa Usebia Ulalo akiwasomea majina waandishi wa habari, ya majeruhi 

 Msongamano wa magari kutokana na ajali hiyo 
Dereva wa Lori hilo Daudi akiwa amelazwa katika hospitali hiyo ya Rufaa Mbeya