Sunday, June 10, 2012

Picha za Mkutano wa Chama cha Mapinduzi Jangwani June 9, 2012

 


 Mama aliyejipamba ki-CCM.
Maelfu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika  jioni hii kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam
 Wilaya ya Kinondoni wakishangilia baada ya kutambulishwa.
 Watu wakionyesha kuwa na shamrashamra baada ya kukaa nafasi zao.
Wa Ilala wakiingia viwanja vya Jangwani.
 Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani.
Wa Mbagala wakiingia viwanja vya jangwani.
 Mfuasi wa Chadema akiwa na fulana kenye ujumbe
 
Mfuasi wa CCM akionyesha fulana lenye ujumbe hivi sasa viwanja vya jangwani jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa CCM
watu mbalimbali waliofika kuhudhuria.